Ha-Mym-Sajdah 41:29 وقال الذين كفروا ربنا ارنا اللذين اضلانا من الجن والانس نجعلهما تحت اقدامنا ليكونا من الاسفلين ٢٩
وَقَالَ
ٱلَّذِينَ
كَفَرُواْ
رَبَّنَآ
أَرِنَا
ٱلَّذَيۡنِ
أَضَلَّانَا
مِنَ
ٱلۡجِنِّ
وَٱلۡإِنسِ
نَجۡعَلۡهُمَا
تَحۡتَ
أَقۡدَامِنَا
لِيَكُونَا
مِنَ
ٱلۡأَسۡفَلِينَ
٢٩
Na walio kufuru watasema: Mola wetu Mlezi! Tuonyeshe walio tupoteza miongoni mwa majini na watu ili tuwaweke chini ya miguu yetu, wapate kuwa miongoni wa walio chini kabisa. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na watasema wale waliomkanusha Mwenyezi Mungu na Mtume Wake na wao wako Motoni, «Mola wetu! Tuonyeshe mapote mawili yaliyotupoteza miongoni mwa majini na binadamu ili tuyaweke chini ya nyayo zetu yapate kuwa sehemu ya chini kabisa ya Moto.»
Na watasema wale waliomkanusha Mwenyezi Mungu na Mtume Wake na wao wako Motoni, «Mola wetu! Tuonyeshe mapote mawili yaliyotupoteza miongoni mwa majini…