Ha-Mym-Sajdah 41:34 ولا تستوي الحسنة ولا السيية ادفع بالتي هي احسن فاذا الذي بينك وبينه عداوة كانه ولي حميم ٣٤
وَلَا
تَسۡتَوِي
ٱلۡحَسَنَةُ
وَلَا
ٱلسَّيِّئَةُۚ
ٱدۡفَعۡ
بِٱلَّتِي
هِيَ
أَحۡسَنُ
فَإِذَا
ٱلَّذِي
بَيۡنَكَ
وَبَيۡنَهُۥ
عَدَٰوَةٞ
كَأَنَّهُۥ
وَلِيٌّ
حَمِيمٞ
٣٤
Mema na maovu hayalingani. Pinga uovu kwa lilio jema zaidi. Hapo yule ambaye baina yako naye pana uadui atakuwa kama rafiki jamaa wa kukuonea uchungu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na halilingani jema la waliomuamini Mwenyezi Mungu, wakasimama imara kwenye Sheria Yake, wakawafanyia wema viumbe Vyake (hilo halilingani) na baya la waliomkanusha Yeye, wakaenda kinyume na amri Yake na wakawafanyia ubaya viumbe Vyake. Msukume, ewe Mtume, kwa msamaha wako, upole wako na hisani yako …
Na halilingani jema la waliomuamini Mwenyezi Mungu, wakasimama imara kwenye Sheria Yake, wakawafanyia wema viumbe Vyake (hilo halilingani) na baya la …