Ha-Mym-Sajdah 41:48 وضل عنهم ما كانوا يدعون من قبل وظنوا ما لهم من محيص ٤٨
وَضَلَّ
عَنۡهُم
مَّا
كَانُواْ
يَدۡعُونَ
مِن
قَبۡلُۖ
وَظَنُّواْ
مَا
لَهُم
مِّن
مَّحِيصٖ
٤٨
Na wakawapotea wale walio kuwa wakiwaomba hapo kwanza, na wakawa na yakini kuwa hawana pa kukimbilia. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Wakawapotea hao washirikina wale washirika wao ambao walikuwa wakiwaabudu badala ya Mwenyezi Mungu, wasiwanufaishe na wakajuwa kwa yakini kuwa hakuna makimbilio yoyote ya kuwaepusha wao na adhabu ya Mwenyezi Mungu.
Wakawapotea hao washirikina wale washirika wao ambao walikuwa wakiwaabudu badala ya Mwenyezi Mungu, wasiwanufaishe na wakajuwa kwa yakini kuwa hakuna …