Hud 11:115 واصبر فان الله لا يضيع اجر المحسنين ١١٥
وَٱصۡبِرۡ
فَإِنَّ
ٱللَّهَ
لَا
يُضِيعُ
أَجۡرَ
ٱلۡمُحۡسِنِينَ
١١٥
Na subiri, kwani Mwenyezi Mungu hapotezi ujira wa wanao fanya wema. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na usubiri, ew Nabii, juu ya hiyo Swala na juu ya makero unayoyakuta kutoka kwa washirina wa watu wako, kwani Mwenyezi Mungu Hapotezi malipo ya walio wema katika matendo yao.
Na usubiri, ew Nabii, juu ya hiyo Swala na juu ya makero unayoyakuta kutoka kwa washirina wa watu wako, kwani Mwenyezi Mungu Hapotezi malipo ya walio …