Hud 11:21 اولايك الذين خسروا انفسهم وضل عنهم ما كانوا يفترون ٢١
أُوْلَٰٓئِكَ
ٱلَّذِينَ
خَسِرُوٓاْ
أَنفُسَهُمۡ
وَضَلَّ
عَنۡهُم
مَّا
كَانُواْ
يَفۡتَرُونَ
٢١
Hao ndio walio zikhasiri nafsi zao, na yakawapotea waliyo kuwa wakiyazua. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hao ndio wale waliopata hasara ya nafsi zao kwa kumzulia kwao Mwenyezi Mungu urongo na waliwaondokea wao wauungu waliokuwa wakiwazua na kudai kwamba wao watawaombea.
Hao ndio wale waliopata hasara ya nafsi zao kwa kumzulia kwao Mwenyezi Mungu urongo na waliwaondokea wao wauungu waliokuwa wakiwazua na kudai kwamba w…