Hud 11:23 ان الذين امنوا وعملوا الصالحات واخبتوا الى ربهم اولايك اصحاب الجنة هم فيها خالدون ٢٣
إِنَّ
ٱلَّذِينَ
ءَامَنُواْ
وَعَمِلُواْ
ٱلصَّٰلِحَٰتِ
وَأَخۡبَتُوٓاْ
إِلَىٰ
رَبِّهِمۡ
أُوْلَٰٓئِكَ
أَصۡحَٰبُ
ٱلۡجَنَّةِۖ
هُمۡ
فِيهَا
خَٰلِدُونَ
٢٣
Hakika wale walio amini,na wakatenda mema, na wakanyenyekea kwa Mola wao Mlezi, hao ndio watu wa Peponi, na humo watadumu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hakika wale ambao walimuamini Mwenyezi Mungu na Mtume Wake na wakafanya matendo mema, wakanyenyekea kwa Mwenyezi Mungu katika kila walichoamrishwa na kukatazwa. Hao ndio watu wa Peponi, hawatakufa humo wala hawatatoka kabisa.
Hakika wale ambao walimuamini Mwenyezi Mungu na Mtume Wake na wakafanya matendo mema, wakanyenyekea kwa Mwenyezi Mungu katika kila walichoamrishwa na …