Hud 11:25 ولقد ارسلنا نوحا الى قومه اني لكم نذير مبين ٢٥
وَلَقَدۡ
أَرۡسَلۡنَا
نُوحًا
إِلَىٰ
قَوۡمِهِۦٓ
إِنِّي
لَكُمۡ
نَذِيرٞ
مُّبِينٌ
٢٥
Na Sisi tulimtuma Nuhu kwa watu wake, akawaambia: Hakika mimi ni mwonyaji kwenu ninaye bainisha, 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hakika tulimtuma Nūḥ, kwa watu wake akasema kuwaambia, «Mimi ni muonyaji kwenu adhabu ya Mwenyezi Mungu, ni mwenye kuwabainishia yale niliyotumwa kwenu ya maamrisho ya Mwenyezi Mungu na makatazo yake.
Hakika tulimtuma Nūḥ, kwa watu wake akasema kuwaambia, «Mimi ni muonyaji kwenu adhabu ya Mwenyezi Mungu, ni mwenye kuwabainishia yale niliyotumwa kwe…