Ibrahim 14:14 ولنسكننكم الارض من بعدهم ذالك لمن خاف مقامي وخاف وعيد ١٤
وَلَنُسۡكِنَنَّكُمُ
ٱلۡأَرۡضَ
مِنۢ
بَعۡدِهِمۡۚ
ذَٰلِكَ
لِمَنۡ
خَافَ
مَقَامِي
وَخَافَ
وَعِيدِ
١٤
Na tutakuwekeni katika ardhi baada yao. Haya ni kwa anaye ogopa kusimamishwa mbele yangu, na akaogopa maonyo yangu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
«Na tutaufanya mwisho mwema uwe ni wa Mitume na wafuasi wao kwa kuwakalisha kwenye ardhi ya makafiri baada ya kuwaangamiza. Kuwaangamiza huko na kuwakalisha Waumini ardhi yao ni jambo la uhakika kwa anayeogopa kisimamo chake mbele yangu Siku ya Kiyama na akaoogopa unyo langu na adhabu yangu.»
«Na tutaufanya mwisho mwema uwe ni wa Mitume na wafuasi wao kwa kuwakalisha kwenye ardhi ya makafiri baada ya kuwaangamiza. Kuwaangamiza huko na kuwak…