Ibrahim 14:16 من ورايه جهنم ويسقى من ماء صديد ١٦
مِّن
وَرَآئِهِۦ
جَهَنَّمُ
وَيُسۡقَىٰ
مِن
مَّآءٖ
صَدِيدٖ
١٦
Ambaye nyuma yake ipo Jahannamu, na atanywishwa maji ya usaha. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Mbele yake, huyu kafiri, patakuwa na Jahanamu, ataikuta na adhabu yake na atanyweshwa humo usaha na damu zinazotoka kwenye miili ya watu wa Motoni.