Ibrahim 14:28 ۞ الم تر الى الذين بدلوا نعمت الله كفرا واحلوا قومهم دار البوار ٢٨
۞ أَلَمۡ
تَرَ
إِلَى
ٱلَّذِينَ
بَدَّلُواْ
نِعۡمَتَ
ٱللَّهِ
كُفۡرٗا
وَأَحَلُّواْ
قَوۡمَهُمۡ
دَارَ
ٱلۡبَوَارِ
٢٨
Hebu hukuwaona wale walio badilisha neema ya Mwenyezi Mungu kwa kufuru, na wakawafikisha watu wao kwenye nyumba ya maangamizo? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Kwani hutazami, ewe mwenye kuambiwa (makusudio ni jumla ya wenye kuambiwa), hali ya wakanushaji miongoni mwa makafiri wa Kikureshi waliochagua kumkanusha Mwenyewzi Mungu badala ya kumshukuru kwa neema ya amani na kutumilizwa Nabii Muhammad, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukiye, kwao wao? Na …
Kwani hutazami, ewe mwenye kuambiwa (makusudio ni jumla ya wenye kuambiwa), hali ya wakanushaji miongoni mwa makafiri wa Kikureshi waliochagua kumkanu…