Ibrahim 14:29 جهنم يصلونها وبيس القرار ٢٩
جَهَنَّمَ
يَصۡلَوۡنَهَاۖ
وَبِئۡسَ
ٱلۡقَرَارُ
٢٩
Nayo ni Jahannamu! Wataingia, Maovu yaliyoje makaazi hayo! 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
nayo ni Moto wa Jahanamu ambao watauingia na wataungulika na joto lake. Na mahali pabaya pa kukaa na kutulia ni hapo penye makao yao.