Ibrahim 14:3 الذين يستحبون الحياة الدنيا على الاخرة ويصدون عن سبيل الله ويبغونها عوجا اولايك في ضلال بعيد ٣
ٱلَّذِينَ
يَسۡتَحِبُّونَ
ٱلۡحَيَوٰةَ
ٱلدُّنۡيَا
عَلَى
ٱلۡأٓخِرَةِ
وَيَصُدُّونَ
عَن
سَبِيلِ
ٱللَّهِ
وَيَبۡغُونَهَا
عِوَجًاۚ
أُوْلَٰٓئِكَ
فِي
ضَلَٰلِۭ
بَعِيدٖ
٣
Wale wanao fadhilisha maisha ya dunia kuliko Akhera, na wanawazuilia watu wasifuate Njia ya Mwenyezi Mungu, na wanataka kuipotosha. Hao wamepotelea mbali. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na hawa wenye kugeuka wasimuamini Mwenyezi Mungu na wasimfuate Mtume Wake ndio wanaochagua maisha ya dunia yenye kutoeka na wanaacha Akhera yenye kusalia, wanawakataza watu kufuata dini ya Mwenyezi Mungu na wanaitaka iwe ni njia iliyopotoka ili iafikiane na mapendeleo yao. Hao waliosifiwa kwa sifa h…
Na hawa wenye kugeuka wasimuamini Mwenyezi Mungu na wasimfuate Mtume Wake ndio wanaochagua maisha ya dunia yenye kutoeka na wanaacha Akhera yenye kusa…