Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Ibrahim 14:7

14:7
واذ تاذن ربكم لين شكرتم لازيدنكم ولين كفرتم ان عذابي لشديد ٧
وَإِذْ تَأَذَّنَ رَبُّكُمْ لَئِن شَكَرْتُمْ لَأَزِيدَنَّكُمْ ۖ وَلَئِن كَفَرْتُمْ إِنَّ عَذَابِى لَشَدِيدٌۭ ٧
وَإِذۡ
تَأَذَّنَ
رَبُّكُمۡ
لَئِن
شَكَرۡتُمۡ
لَأَزِيدَنَّكُمۡۖ
وَلَئِن
كَفَرۡتُمۡ
إِنَّ
عَذَابِي
لَشَدِيدٞ
٧
Na alipo tangaza Mola wenu Mlezi: Mkishukuru nitakuzidishieni; na mkikufuru, basi adhabu yangu ni kali. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Mūsā aliwaambia, «Na kumbukeni pindi Mola wenu alipowajulisha kwa kuwasisitiza kwamba mkimshukuru kwa neema Zake Atawazidishia nyongeza Zake, na mkikanusha neema ya Mwenyezi Mungu, Atawaadhibu adhabu kali.»