Ibrahim 14:8 وقال موسى ان تكفروا انتم ومن في الارض جميعا فان الله لغني حميد ٨
وَقَالَ
مُوسَىٰٓ
إِن
تَكۡفُرُوٓاْ
أَنتُمۡ
وَمَن
فِي
ٱلۡأَرۡضِ
جَمِيعٗا
فَإِنَّ
ٱللَّهَ
لَغَنِيٌّ
حَمِيدٌ
٨
Na Musa alisema: Mkikufuru nyinyi na wote waliomo duniani, hakika Mwenyezi Mungu ni Mkwasi, Anajitosha, Msifiwa. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na akawaambia, «Mkimkanusha Mwenyezi Mungu , nyinyi na watu wa ardhini, hamtamdhuru Mwenyezi Mungu kitu chochote. Kwani Mwenyezi mungu ni Mkwasi kutowahitajia viumbe Vyake, ni mstahiki wa kushukuriwa na kusifiwa, ni mshukuriwa kwa hali zote.»
Na akawaambia, «Mkimkanusha Mwenyezi Mungu , nyinyi na watu wa ardhini, hamtamdhuru Mwenyezi Mungu kitu chochote. Kwani Mwenyezi mungu ni Mkwasi kutow…