Na Musa alisema: Mkikufuru nyinyi na wote waliomo duniani, hakika Mwenyezi Mungu ni Mkwasi, Anajitosha, Msifiwa. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Na akawaambia, «Mkimkanusha Mwenyezi Mungu , nyinyi na watu wa ardhini, hamtamdhuru Mwenyezi Mungu kitu chochote. Kwani Mwenyezi mungu ni Mkwasi kutowahitajia viumbe Vyake, ni mstahiki wa kushukuriwa na kusifiwa, ni mshukuriwa kwa hali zote.»