Na tuliwaangamiza kina A'di na Thamudi na watu wa Rass na vizazi vingi vilivyo kuwa kati yao. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadithi
Na tuliwaangamiza hao ‘Ād, watu wa Hūd, na Thamūd, watu wa Ṣāliḥ, na watu wa Kisimani na watu wengine wengi waliokuwako baina ya watu wa Nūḥ, kina ‘Ād, kina Thamūd na watu wa Rass(hapo kisimani) hakuna awajuao isipokuwa Mwenyezi Mungu.