Na alipo sema Ibrahim: Mola wangu Mlezi! Nionyeshe vipi unavyo fufua wafu. Mwenyezi Mungu akasema: Kwani huamini? Akasema: Hasha! Lakini ili moyo wangu utue. Akamwambia: Twaa ndege wane na uwazoeshe kwako, kisha uweke juu ya kila kilima sehemu, kisha wete, watakujia mbio. Na ujue kwamba hakika Mwenyezi Mungu ni Mtukufu Mwenye nguvu, na Mwenye hikima. 1
Maelezo
These are alternative ways of expressing this name in Arabic. There is variation in the way the word is written in the various codices and surahs, and while most readings pronounce it consistently as Ibrāhīm, some narrations pronounce it as Ibrāhām at specific junctures.