Luqman 31:19 واقصد في مشيك واغضض من صوتك ان انكر الاصوات لصوت الحمير ١٩
وَٱقۡصِدۡ
فِي
مَشۡيِكَ
وَٱغۡضُضۡ
مِن
صَوۡتِكَۚ
إِنَّ
أَنكَرَ
ٱلۡأَصۡوَٰتِ
لَصَوۡتُ
ٱلۡحَمِيرِ
١٩
Na ushike mwendo wa katikati, na teremsha sauti yako. Hakika katika sauti mbaya zote bila ya shaka iliyo zidi ni sauti ya punda. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
«Na unyenyekee katika kwenda kwako na uishukishe chini sauti yako usiipandishe juu, kwani sauti mbaya zaidi na inayochukiza zaidi ni sauti ya punda wanaojulikana kwa upumbavu wao na sauti zao za juu.»
«Na unyenyekee katika kwenda kwako na uishukishe chini sauti yako usiipandishe juu, kwani sauti mbaya zaidi na inayochukiza zaidi ni sauti ya punda wa…