Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Luqman 31:19

31:19
واقصد في مشيك واغضض من صوتك ان انكر الاصوات لصوت الحمير ١٩
وَٱقْصِدْ فِى مَشْيِكَ وَٱغْضُضْ مِن صَوْتِكَ ۚ إِنَّ أَنكَرَ ٱلْأَصْوَٰتِ لَصَوْتُ ٱلْحَمِيرِ ١٩
وَٱقۡصِدۡ
فِي
مَشۡيِكَ
وَٱغۡضُضۡ
مِن
صَوۡتِكَۚ
إِنَّ
أَنكَرَ
ٱلۡأَصۡوَٰتِ
لَصَوۡتُ
ٱلۡحَمِيرِ
١٩
Na ushike mwendo wa katikati, na teremsha sauti yako. Hakika katika sauti mbaya zote bila ya shaka iliyo zidi ni sauti ya punda. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
«Na unyenyekee katika kwenda kwako na uishukishe chini sauti yako usiipandishe juu, kwani sauti mbaya zaidi na inayochukiza zaidi ni sauti ya punda wanaojulikana kwa upumbavu wao na sauti zao za juu.»