Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Luqman 31:3

31:3
هدى ورحمة للمحسنين ٣
هُدًۭى وَرَحْمَةًۭ لِّلْمُحْسِنِينَ ٣
هُدٗى
وَرَحۡمَةٗ
لِّلۡمُحۡسِنِينَ
٣
Kuwa ni Uwongofu na Rehema kwa wafanyao wema! 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Aya hizi ni uongofu na ni rehema kwa waliofanya vizuri kuyafiuata kivitendo yale yaliyoteremshwa katika Qur’ani na aliyowaamrisha kwayo Mtume wao Muhammad, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie.