Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Luqman 31:9

31:9
خالدين فيها وعد الله حقا وهو العزيز الحكيم ٩
خَـٰلِدِينَ فِيهَا ۖ وَعْدَ ٱللَّهِ حَقًّۭا ۚ وَهُوَ ٱلْعَزِيزُ ٱلْحَكِيمُ ٩
خَٰلِدِينَ
فِيهَاۖ
وَعۡدَ
ٱللَّهِ
حَقّٗاۚ
وَهُوَ
ٱلۡعَزِيزُ
ٱلۡحَكِيمُ
٩
Watadumu humo - ni ahadi ya Mwenyezi Mungu ya kweli. Na Yeye ndiye Mwenye nguvu, Mwenye hikima. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Na uhai wao katika mabustani hayo ya Peponi ni uhai wa milele, haukatiki wala haumaliziki, Mwenyezi Mungu Amewaahidi hilo ahadi ya kweli. Na Yeye , kutakasika na sifa za upungufu ni Kwake, Haendi kinyume na ahadi Yake. Na Yeye ni Mshindi katika amri Yake, ni Mwenye hekima katika uendeshaji mambo Wake.