Mwenyezi Mungu ameifanya Al Kaaba, hii Nyumba Tukufu, ni simamio la watu, na kadhaalika Miezi Mitukufu, na wanyama wa dhabihu, na vigwe. Hayo ili mjue ya kwamba Mwenyezi Mungu anayajua yaliyomo mbinguni na yaliyomo katika ardhi, na ya kwamba Mwenyezi Mungu ni Mjuzi wa kila kitu. 1
Maelezo
These readings are based on two interchangeable verbal nouns, referring to the safety guaranteed for the Sacred Mosque and the opportunities for trade brought about by the Pilgrimage [Makki].