Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Al-Mursalat 77:14

77:14
وما ادراك ما يوم الفصل ١٤
وَمَآ أَدْرَىٰكَ مَا يَوْمُ ٱلْفَصْلِ ١٤
وَمَآ
أَدۡرَىٰكَ
مَا
يَوۡمُ
ٱلۡفَصۡلِ
١٤
Na nini kitakacho kujuulisha siku ya kupambanua ni nini? 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Na nilipi lililokujulisha wewe, ewe binadamu, ni siku gani hiyo ya kutolewa uamuzi na ni zipi shida zake na vituko vyake?