Maryam 19:27 فاتت به قومها تحمله قالوا يا مريم لقد جيت شييا فريا ٢٧
فَأَتَتۡ
بِهِۦ
قَوۡمَهَا
تَحۡمِلُهُۥۖ
قَالُواْ
يَٰمَرۡيَمُ
لَقَدۡ
جِئۡتِ
شَيۡـٔٗا
فَرِيّٗا
٢٧
Akenda naye (mwanawe) kwa jamaa zake amembeba. Wakasema: Ewe Maryamu! Hakika umeleta kitu cha ajabu!
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hapo Maryam aliwajia watu wake, na yeye amembeba mtoto wake, akitokea mahali mbali. Walipomuona namna hiyo, walisema kumwambia, «Ewe Maryam! Umeleta jambo kubwa ulilolizua.
Hapo Maryam aliwajia watu wake, na yeye amembeba mtoto wake, akitokea mahali mbali. Walipomuona namna hiyo, walisema kumwambia, «Ewe Maryam! Umeleta j…