Maryam 19:30 قال اني عبد الله اتاني الكتاب وجعلني نبيا ٣٠
قَالَ
إِنِّي
عَبۡدُ
ٱللَّهِ
ءَاتَىٰنِيَ
ٱلۡكِتَٰبَ
وَجَعَلَنِي
نَبِيّٗا
٣٠
Akaseam: Hakika mimi ni mtumwa wa Mwenyezi Mungu, amenipa Kitabu na amenifanya Nabii.
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Īsā akasema, na yeye yuko katika hali ya uchanga wa kuwa mlezini yuwanyonya, «Mimi ni mja wa Mwenyezi Mungu, Ameamua kunipatia Kitabu, nacho ni Injili, na amenifanya Nabii.
Īsā akasema, na yeye yuko katika hali ya uchanga wa kuwa mlezini yuwanyonya, «Mimi ni mja wa Mwenyezi Mungu, Ameamua kunipatia Kitabu, nacho ni Injili…