Maryam 19:34 ذالك عيسى ابن مريم قول الحق الذي فيه يمترون ٣٤
ذَٰلِكَ
عِيسَى
ٱبۡنُ
مَرۡيَمَۖ
قَوۡلَ
ٱلۡحَقِّ
ٱلَّذِي
فِيهِ
يَمۡتَرُونَ
٣٤
Huyo ndiye Isa mwana wa Maryamu. Ndiyo kauli ya haki ambayo wanaifanyia shaka.
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Huyo tuliyokuhadithia, ewe Mtume, sifa zake na habari zake ndiye Īsā mwana wa Maryam pasina shaka, hali ya kuwa yeye ni neno la haki ambalo Mayahudi na Wanaswara walilifanyia shaka.
Huyo tuliyokuhadithia, ewe Mtume, sifa zake na habari zake ndiye Īsā mwana wa Maryam pasina shaka, hali ya kuwa yeye ni neno la haki ambalo Mayahudi n…