Maryam 19:89 لقد جيتم شييا ادا ٨٩
لَّقَدۡ
جِئۡتُمۡ
شَيۡـًٔا
إِدّٗا
٨٩
Hakika mmeleta jambo la kuchusha mno!
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Kwa hakika mumeleta, enyi hao wenye kusema, kwa kusema neno hili, jambo kubwa lililo baya.