Maryam 19:94 لقد احصاهم وعدهم عدا ٩٤
لَّقَدۡ
أَحۡصَىٰهُمۡ
وَعَدَّهُمۡ
عَدّٗا
٩٤
Yeye hakika amewadhibiti na amewahisabu sawa sawa.
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Mwenyezi Mungu, kutakata na sifa za upungufu ni Kwake na kutukuka ni Kwake, Amewadhibiti viumbe Wake wote na Ameijua idadi yao, hakuna yoyote miongono mawao mwenye kufichika na Yeye.
Mwenyezi Mungu, kutakata na sifa za upungufu ni Kwake na kutukuka ni Kwake, Amewadhibiti viumbe Wake wote na Ameijua idadi yao, hakuna yoyote miongono…