Na wale walio ongoka anawazidishia uongofu na anawapa uchamngu wao. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Na wale walioongoka kuifuata haki, Mwenyezi Mungu Aliwaongezea uongofu , na kwa hivyo uongofu wao ukapata nguvu na Akawaafikia kwenye uchamungu na akaufanya sahali kwao.