Muhammad 47:5 سيهديهم ويصلح بالهم ٥
سَيَهۡدِيهِمۡ
وَيُصۡلِحُ
بَالَهُمۡ
٥
Atawaongoza na awatengezee hali yao. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Atawaafikia siku za uhai wao duniani wawe watiifu Kwake na wafanye matendo ya kumridhi, Awatengeze hali zao, mambo yao na malipo mema yao duniani na Akhera,
Atawaafikia siku za uhai wao duniani wawe watiifu Kwake na wafanye matendo ya kumridhi, Awatengeze hali zao, mambo yao na malipo mema yao duniani na A…