Na Mwenyezi Mungu anataka kukurejezeni kwenye ut'iifu wake, na wanao taka kufuata matamanio wanataka mkengeuke makengeuko makubwa. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadithi
Ni hadith zinazorejelea aya za Quran kwa uwazi pekee ndizo zilizojumuishwa, na uteuzi huu si kamili. Simulizi zimepangwa ili zilingane na aya zilizochaguliwa kutoka Sahih al-Bukhari na Sahih Muslim, zilizonukuliwa kupitia Sunnah.com. Je, una maoni yoyote? Tujulishe .