Isipokuwa wale walio fungamana na watu ambao mna ahadi baina yenu na wao, au wanakujieni na vifua vyao vina dhiki kupigana nanyi, au kupigana na watu wao. Na lau angeli penda Mwenyezi Mungu angeli wasaliti juu yenu wakapigana nanyi. Basi wakijitenga nanyi, wasipigane nanyi, na wakakuleteeni amani, basi Mwenyezi Mungu hakukupeni njia kupigana nao. 1
Maelezo
These readings convey the same meaning, describing the state of those unbelievers. In the first, the ‘chests’ are the subject of a verb. In Yaʿqūb’s reading, a noun does the same action, and the extended tā’ is treated in the same way as a rounded one (hence it is pronounced hā’ in pause).