Isipo kuwa wale walio kuwa wanyonge miongoni mwa wanaume na wanawake na watoto wasio na uweza wa hila ya kuongoza njia ya kuhama. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadithi
Ni hadith zinazorejelea aya za Quran kwa uwazi pekee ndizo zilizojumuishwa, na uteuzi huu si kamili. Simulizi zimepangwa ili zilingane na aya zilizochaguliwa kutoka Sahih al-Bukhari na Sahih Muslim, zilizonukuliwa kupitia Sunnah.com. Je, una maoni yoyote? Tujulishe .