Nuh 71:14 وقد خلقكم اطوارا ١٤
وَقَدۡ
خَلَقَكُمۡ
أَطۡوَارًا
١٤
Na hali Yeye kakuumbeni daraja baada ya daraja? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
na hali yeye Amewaumba nyinyi katika miongo yenye kufuatana : tone la manii, kisha pande la damu, kisha nofu la nyama, kisha mifupa na nyama?