Nuh 71:16 وجعل القمر فيهن نورا وجعل الشمس سراجا ١٦
وَجَعَلَ
ٱلۡقَمَرَ
فِيهِنَّ
نُورٗا
وَجَعَلَ
ٱلشَّمۡسَ
سِرَاجٗا
١٦
Na akaufanya mwezi ndani yake uwe nuru, na akalifanya jua kuwa taa? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Akajaalia mwezi, katika mbigu hizi, ni wenye mwangaza,, na Akajaalia jua ni taa yenye kung’ara ili kuwapatia mwangaza watu walioko ardhini?