Nuh 71:3 ان اعبدوا الله واتقوه واطيعون ٣
أَنِ
ٱعۡبُدُواْ
ٱللَّهَ
وَٱتَّقُوهُ
وَأَطِيعُونِ
٣
Ya kwamba mumuabudu Mwenyezi Mungu, na mumche Yeye, na mumt'ii. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na mimi ni mjumbe wa Mwenyezi Mungu kwenu. Muabuduni Mwenyezi Mungu, Aliyetukuka, Peke Yake na muogopeni Yeye na nitiini mimi katika kile ninachowaamrisha nyinyi na kuwakataza. Basi mkinitii mimi na mkanikubalia,
Na mimi ni mjumbe wa Mwenyezi Mungu kwenu. Muabuduni Mwenyezi Mungu, Aliyetukuka, Peke Yake na muogopeni Yeye na nitiini mimi katika kile ninachowaamr…