Nuh 71:5 قال رب اني دعوت قومي ليلا ونهارا ٥
قَالَ
رَبِّ
إِنِّي
دَعَوۡتُ
قَوۡمِي
لَيۡلٗا
وَنَهَارٗا
٥
Akasema: Ee Mola wangu Mlezi! Hakika mimi nimewaita watu wangu usiku na mchana! 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Nūḥ akasema, «Mola wangu! Kwa hakika mimi nimewalingania watu wangu usiku na mchana ili wakuamini wewe na wakutii.