Nuh 71:9 ثم اني اعلنت لهم واسررت لهم اسرارا ٩
ثُمَّ
إِنِّيٓ
أَعۡلَنتُ
لَهُمۡ
وَأَسۡرَرۡتُ
لَهُمۡ
إِسۡرَارٗا
٩
Kisha nikawatangazia kwa kelele, tena nikasema nao kwa siri. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Kisha nikawatangazia wao ulinganizi kwa sauti kubwa wakati mwingine, na nikausirisha huo ulinganizi kwa sauti ya chini wakati mwingine.