Msiombe kufa mara moja tu, bali mfe mara nyingi! 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadithi
Hapo wataambiwa kwa kukatishwa tamaa, leo msjiiombee maangamivu mara moja, lakini jiombeeni mara nyingi, kwani hilo halitawaongezea isipokuwa makero, hakuna maokozi kwenu.