Qaf 50:12 كذبت قبلهم قوم نوح واصحاب الرس وثمود ١٢
كَذَّبَتۡ
قَبۡلَهُمۡ
قَوۡمُ
نُوحٖ
وَأَصۡحَٰبُ
ٱلرَّسِّ
وَثَمُودُ
١٢
Kabla yao walikadhibisha kaumu ya Nuhu na wakaazi wa Rassi na Thamudi. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Walikanusha, kabla ya hawa washirikina miongoni mwa Makureshi, watu wa Nūḥ, watu wa Kisima na Thamūd.