Qaf 50:31 وازلفت الجنة للمتقين غير بعيد ٣١
وَأُزۡلِفَتِ
ٱلۡجَنَّةُ
لِلۡمُتَّقِينَ
غَيۡرَ
بَعِيدٍ
٣١
Na Pepo italetwa karibu kwa ajili ya wachamngu, haitakuwa mbali. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na hapo wachamungu wakaribishiwe Pepo, iwepo mahali ambapo si mbali na wao, wawe waiona, kwa kuwaongezea furaha zao.