Qaf 50:34 ادخلوها بسلام ذالك يوم الخلود ٣٤
ٱدۡخُلُوهَا
بِسَلَٰمٖۖ
ذَٰلِكَ
يَوۡمُ
ٱلۡخُلُودِ
٣٤
(Ataambiwa) ingieni kwa salama. Hiyo ndiyo siku ya daima dawamu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na hapo waambiwe hao Waumini, «Ingieni Peponi kuingia kunakoshikamana na kusalimika na maafa na shari, hali ya kuhifadhiwa na mambo yote mnayoyachukia. Hiyo ndiyo Siku ya starehe za milele zisizokatika.»
Na hapo waambiwe hao Waumini, «Ingieni Peponi kuingia kunakoshikamana na kusalimika na maafa na shari, hali ya kuhifadhiwa na mambo yote mnayoyachukia…