Qaf 50:40 ومن الليل فسبحه وادبار السجود ٤٠
وَمِنَ
ٱلَّيۡلِ
فَسَبِّحۡهُ
وَأَدۡبَٰرَ
ٱلسُّجُودِ
٤٠
Na katika usiku pia mtakase, na baada ya kusujudu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
na uswali kipindi cha usiku na umtakase Mola Wako kwa kumshukuru baada ya Swala.