Qaf 50:41 واستمع يوم يناد المناد من مكان قريب ٤١
وَٱسۡتَمِعۡ
يَوۡمَ
يُنَادِ
ٱلۡمُنَادِ
مِن
مَّكَانٖ
قَرِيبٖ
٤١
Na sikiliza siku atapo nadi mwenye kunadi kutoka pahala karibu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na usikilize, ewe Mtume, siku Malaika atakapoita kwa kupuliza kwenye Baragumu kutoka sehemu iliyo karibu.