Qaf 50:44 يوم تشقق الارض عنهم سراعا ذالك حشر علينا يسير ٤٤
يَوۡمَ
تَشَقَّقُ
ٱلۡأَرۡضُ
عَنۡهُمۡ
سِرَاعٗاۚ
ذَٰلِكَ
حَشۡرٌ
عَلَيۡنَا
يَسِيرٞ
٤٤
Siku itapo wapasukia ardhi mbio mbio! Mkusanyo huo kwetu ni mwepesi. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Siku ambayo ardhi itapasukapasuka itoe wafu waliozikwa humo, watoke mbio kuelekea upande wa yule anayeita. Kuwakusanya watu hivyo kwenye Kisimamo cha Hesabu ni jambo sahali kwetu na rahisi.
Siku ambayo ardhi itapasukapasuka itoe wafu waliozikwa humo, watoke mbio kuelekea upande wa yule anayeita. Kuwakusanya watu hivyo kwenye Kisimamo cha …