Quraysh 106:3 فليعبدوا رب هاذا البيت ٣
فَلۡيَعۡبُدُواْ
رَبَّ
هَٰذَا
ٱلۡبَيۡتِ
٣
Basi nawamuabudu Mola Mlezi wa Nyumba hii, 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Basi, wamshukuru na kumuabudu Bwana wa Nyumba hii ya Alkaba, Ambaye kwa ajili Yake wametukuzwa, na wampwekeshe na kumtakasia ibada.