Quraysh 106:4 الذي اطعمهم من جوع وامنهم من خوف ٤
ٱلَّذِيٓ
أَطۡعَمَهُم
مِّن
جُوعٖ
وَءَامَنَهُم
مِّنۡ
خَوۡفِۭ
٤
Ambaye anawalisha wasipate njaa, na anawalinda na khofu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Ambaye Amewapa wao chakula wakati wa njaa kali na akawapa amani na utulivu kutokana na kicho kikubwa na babaiko.