Saba 34:51 ولو ترى اذ فزعوا فلا فوت واخذوا من مكان قريب ٥١
وَلَوۡ
تَرَىٰٓ
إِذۡ
فَزِعُواْ
فَلَا
فَوۡتَ
وَأُخِذُواْ
مِن
مَّكَانٖ
قَرِيبٖ
٥١
Na lau ungeli ona watapo babaika, basi hapana pa kukimbilia! Na watakamatwa mahala pa karibu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na lau ungaliona, ewe Mtume, pindi watakapobabaika wakanushaji pale watakapoishuhudia adhabu ya Mwenyezi Mungu, ungaliona jambo kubwa! Hawatakuwa na uokozi wala makimbilio na watachukuliwa hadi Motoni kutoka mahali karibu pa kutwaliwa.
Na lau ungaliona, ewe Mtume, pindi watakapobabaika wakanushaji pale watakapoishuhudia adhabu ya Mwenyezi Mungu, ungaliona jambo kubwa! Hawatakuwa na u…