Sad 38:15 وما ينظر هاولاء الا صيحة واحدة ما لها من فواق ١٥
وَمَا
يَنظُرُ
هَٰٓؤُلَآءِ
إِلَّا
صَيۡحَةٗ
وَٰحِدَةٗ
مَّا
لَهَا
مِن
فَوَاقٖ
١٥
Na hawa hawangojei ila ukelele mmoja tu usio na muda. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na hawangojei washirikina hawa, ili adhabu iwashukie wakisalia kwenye ushirikina wao, isipokuwa Mvuvio mmoja ambao hauna kurudi.