Sad 38:20 وشددنا ملكه واتيناه الحكمة وفصل الخطاب ٢٠
وَشَدَدۡنَا
مُلۡكَهُۥ
وَءَاتَيۡنَٰهُ
ٱلۡحِكۡمَةَ
وَفَصۡلَ
ٱلۡخِطَابِ
٢٠
Na tukautia nguvu ufalme wake, na tukampa hikima, na kukata hukumu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Tukamtilia nguvu ufalme wake kwa haiba, uwezo na ushindi, na tukampa unabii na upambanuzi wa maneno na utoaji hukumu.